Friday, December 31, 2010

OKOA MAISHA!!!!!!

OKOA MAISHA.!!!!!!Kwa nini niseme okoa maisha? Maisha ya watu wengi yako mikononi mwako!! Mamia ya wagonjwa mahospitalini wanakulilia wewe ulie na afya njema uwaokoe!!!!!!!
DAMU YAKO INAOKOA MAISHA!!!

Ni kampeni ya kisekali kwa ajili ya khamasisha watu kuchangia damu ili kusaidia wagonjwa wenye kuhitaji msaada wa kuongezewa damu. Kufuatia magonjwa mbalimbali wagonjwa wanahitaji damu ili kuyaokoa maisha yao. Mama wajawazito wanahitaji damu baada ya kuipoteza wakati wa kujifungua!!
Naamini nimeongea kwa kifupi juu ya jambo hili nyeti lakini tunatakiwa kuwa mstari wa mbele kucangia damu hasa kama afya zetu ni njema na vigezo kama uzito na umbri vinaruhusu.
  WAGONJWA WANAHITAJI DAMU YAKO

No comments:

Post a Comment